Passer au contenu principal Passer à la recherche Passer à la navigation principale

Nos rayons et sélections

Lucy na Emma

4 livres
Couverture ebook de Lucy Apata Mtoto wa Mbwa, de Line Kyed Knudsen
Saga Egmont | 10 décembre 2019

Hatimaye Lucy anapata mtoto wa mbwa. Ni wa kuvutia, na yeye na rafiki yake Emma wanatarajia kucheza naye. Lakini anaruka na kuuma. Labda kupata mtoto wa mbwa haifurahishi sana kama Lucy alivyofikiria.

Ebook
Prix régulier : 0,99 €
Téléchargement et lecture immédiats
Couverture ebook de Lucy na Emma Wana Siku ya Kulala kwa Mtu Mwingine, de Line Kyed Knudsen
Saga Egmont | 10 décembre 2019

Emma atalala katika nyumba ya Lucy kwa mara ya kwanza. Amekuwa akitazamia siku hiyo yote. Lakini jioni hukumbuka mama yake. Labda anapaswa kwenda nyumbani?

Ebook
Prix régulier : 0,99 €
Téléchargement et lecture immédiats
Couverture ebook de Lucy na Emma wanaenda Kuendesha Baisikeli, de Line Kyed Knudsen
Saga Egmont | 10 décembre 2019

Lucy na Emma wanaenda kuendesha baisikeli na wanafunzi wengine wa darasa lake. Ghafla wanapotea msituni na Hassan. Anaendesha haraka ili kuwafikia wengine, lakini wanafikia njia panda ya barabara. Marafiki hao watatu hawajui ni barabara gani ambayo wanafunzi wengine wa darasa walikwenda. Watafanya nini?

Ebook
Prix régulier : 0,99 €
Téléchargement et lecture immédiats
Couverture ebook de Lucy na Emma Wanasherehekea Siku Yao ya Kuzaliwa, de Line Kyed Knudsen
Saga Egmont | 10 décembre 2019

Emma awakaribisha wanafunzi wenzake katika sherehe ya siku yake ya kuzaliwa. Ni sherehe ya kuvutia katika chumba cha kuchezea dansi chenye taa za disko na chakula kitamu. Sasa ni wakati wa Lucy kuwa na sherehe yake mwenyewe ya siku ya kuzaliwa. Lakini sherehe yake itakuwa ya kukata na shoka?

Ebook
Prix régulier : 0,99 €
Téléchargement et lecture immédiats