Publication Date
26 August 2019
Publisher
Saga Egmont
Collection
FC Mezzi
Technical Characteristics
Language
Swahili
Pages
25 Pages
File Size
0.1 MB
ISBN 13
9788726254655
Format
Epub
Protection
DRM Watermark
shield_lock
Permissions
- Print Yes
- Copy/Paste Yes
- Share Yes
accessibility
Accessibility
No data available
FC Mezzi 4: FC Mezzi Yakutana na Messi
share
Mpira wa miguu sio kuhusu kuishi au kifo - ni muhimu sana! FC Mezzi inaenda Barcelona wakati wa likizo ya kiangazi. Wanaenda kuishi kwenye shule yenye bwawa, kucheza kwenye mashindano dhidi ya timu za Hispania, na kutembelea Camp Nou. Wana shauku kubwa. Hata wameweza kutimiza matamanio yao makubwa: Wakiwa wanaelekea Camp Nou wanakutana na Messi! Labda wanaweza hata kurudisha kombe nyumbani?FC MezziMpira wa miguu sio kuhusu kuishi au kufa - ni muhimu sana! Jake na marafiki zake walianzisha timu yao wenyewe, FC Mezzi. Tunafuatilia michezo yao ya mazoezi, mashindano na ya kirafiki ya zamani na mipya. Pia kuna mambo ya mapenzi kidogo. Mfululizo huu unahusu kufurahia michezo!Daniel Zimakoff alizaliwa mwaka 1956 na mkutubi aliyesomea. Kwa mara ya kwanza mwaka 1980 aliandika mfurulizo mkubwa wa vitabu vya watoto na ashawahi kupata Tuzo ya Vitabu vya Watoto kuto kwenye wizara ya utamaduni.
Read more
Read less
Smartbook
What is a Smartbook?
How to read this smartbook?
Publication Date
26 August 2019
Publisher
Saga Egmont
Collection
FC Mezzi
Technical Characteristics
Language
Swahili
Pages
25 Pages
File Size
0.1 MB
ISBN 13
9788726254655
Format
Epub
Protection
DRM Watermark
shield_lock
Permissions
- Print Yes
- Copy/Paste Yes
- Share Yes
accessibility
Accessibility
No data available
Readers Reviews
Login
No reviews found. Share your insights with others.